HUDUMA · TAALUMA · MAENDELEO

Miradi yenye Kusudi.
Maendeleo yanayojenga Ufalme.

Jukwaa la TAG linalobadili maono kuwa miradi yenye matokeo—kwa kuunganisha makanisa, wataalamu, washirika na fursa za uwekezaji kwa maendeleo ya Kanisa na jamii.

13

MIAKA YA MOTO WA UAMSHOTunamtaka Bwana na Nguvu Zake

Bofya mkoa kuona miradi na fursa

48Miradi ya Maendeleo

58+Fursa za Kushiriki

12,187+Makanisa ya TAG

TAFUTA KWENYE DIRECTORY

Unahitaji mtaalamu gani?

31Mikoa Imefikiwa
58+Fursa za Kushiriki
48Miradi ya Maendeleo
TAG PROJECT & DEVELOPMENT ORGANIZATION

Maono yanakuwa mradi. Mradi unakuwa ushuhuda.

TAG Projects ni kitovu cha kuibua, kuratibu na kuonyesha miradi ya maendeleo ya Tanzania Assemblies of God. Tunasaidia mahitaji ya makanisa na jamii kuunganishwa na utaalamu, rasilimali na washirika sahihi.

01

Tunatambua Mahitaji

Makanisa na viongozi huwasilisha changamoto, wazo au fursa yenye manufaa kwa huduma na jamii.

02

Tunaunganisha Rasilimali

Wataalamu, wafadhili na washirika huunganishwa kulingana na ujuzi, eneo na aina ya mradi.

03

Tunatekeleza na Kupima

Hatua, matumizi na matokeo ya mradi hufuatiliwa ili kujenga uwazi, uwajibikaji na athari endelevu.

JINSI MIRADI INAVYOJENGA UFALME

Kila mradi ni nafasi ya kuhudumu kwa vitendo.

Elimu, afya, maji, teknolojia, majengo na uwezeshaji wa kiuchumi huimarisha Kanisa, hugusa jamii na kuonyesha upendo wa Kristo kwa matokeo yanayoonekana.

KWA NINI UJIUNGE?

Ujuzi wako una nafasi katika Ufalme wa Mungu.

Directory hii si orodha ya majina tu—ni daraja la ushirikiano, huduma na maendeleo endelevu.

Mtandao wa Wataalamu

Unganika na wataalamu wa TAG kutoka Tanzania nzima kwa ushirikiano na huduma.

Fursa na Miradi

Shiriki katika miradi ya Kanisa, jamii na programu za maendeleo.

Mentorship na Ukuaji

Jifunze, fundisha wengine na jenga kizazi kipya cha wataalamu wa Kikristo.

HABARI NA FURSA MPYA

Endelea kufahamu kinachoendelea

Matangazo rasmi, fursa za kushiriki na habari mpya kutoka TAG Project and Development Organization.

Tangazo

Usajili wa Wataalamu wa TAG Unaendelea

Jaza taarifa zako za taaluma na kanisa ili kujiunga na mtandao wa wataalamu wa TAG Tanzania.

Habari

Directory ya Kitaifa Inaendelea Kujengwa

Mfumo utaunganisha wataalamu, makanisa na fursa za maendeleo kwa utaratibu salama wa ruhusa.